Header Ads

mchekeshaji Joti na mke wake walivyofanya sherehe ya ndoa yao Dar (Picha)

Mchekeshaji kutoka Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhuvile ‘Joti’ ameuaga ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Tumaini Hasssan ndoa hiyo imefungwa Agosti 28, mwaka huu katika Kanisa Katoliki la Magomeni jijini Dar Es Salaam.
Baada ya kufunga ndoa, sherehe za ndoa yao hiyo ilihamia katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki.

No comments