Header Ads

G-NAKO AFANYA COVER YA SEDUCE ME YA ALIKIBA



Msanii wa Hip-hop na R&B G-NAKO kutoka katika rebo ya WEUSI ameamua kufanya cover ya wimbo uliokua gumzo kubwa tanzania pamoja na nje ya mipaka ya tanzania.... seduce me ambayo ni nyimbo kutoka kwa ALIKIBA almaarufu kama KING KIBA kutoka kwenye rebo ya ROCK STAR.

No comments