Soccer Saturday Pundits watabiri bingwa wa ligi Uingereza
Liverpool walifanikiwa kuilinda nafasi yao kwa kuichapa Manchester City kipigo cha 4-3 katika uwanja wa Anfield, huku Manchester United na Tottenham nao wapata ushindi kiulaini. Wakati huo huo, Chelsea walibaatika kutoa sare na Leicester.
Arsenal nayo imeshuka hadi pointi nane nyuma ya nafasi ya nne kwa kupigwa kipigo cha 2-1 na Bournemouth.

Arsenal nayo imeshuka hadi pointi nane nyuma ya nafasi ya nne kwa kupigwa kipigo cha 2-1 na Bournemouth.

Kipindi cha michezo cha Soccer Saturday Pundits kimetoa utabiri wake katika nafasi sita za juu kwenye ligi hiyo.
Utabiri wa kwanza
1st Manchester City
2nd Manchester United
3rd Tottenham
4th Liverpool
5th Chelsea
6th Arsenal
1st Manchester City
2nd Manchester United
3rd Tottenham
4th Liverpool
5th Chelsea
6th Arsenal
Kwa sasa mimi nina wasiwasi kuhusu Chelsea hawa fungi magoli mengi na hawaonekani kama wanampango huo. Michy Batshuayi inaonekana kabisa kuwa ataondoka klabuni hapo na hii inaaashiria kwamba watamtumia sana mshambuliaji mmoja ambaye ni Alvaro Morata na huenda kumsababishia kupata uchovu zaidi huku msimu ukiendelea.Swali kubwa kwa sasa ni wapi Alexis Sanchez atatua? Kama yeye atakwenda Chelsea basi timu hiyo itaweza kumaliza katika nafasi ya nne. Hakuna shaka na Manchester United wao wataweza kumaliza msimu huu kwa kushika nafasi ya pili hatakama wasipo pata saini ya Sanchez.

Kama Liverpool wataendelea kucheza kama walivyocheza Jumapili iliopita basi wataweza kumaliza katika nafasi ya nne. Kwa sasa mambo mawili tu naweza kuwa na uhakika ambayo ni Manchester City kumaliza nafasi ya kwanza na katika ya sita itakuwa Arsenal ambao wanaelekea kumpoteza mchezaji wao bora [Alexis Sanchez]. Kama Malcolm ni mchezaji mzuri basi PSG wangesha pata saini yake, lakini Arsene Wenger kitu atakacho kifanya ni kwenda kupata saini ya mchezaji kwa dau la pauni milioni 40 wakati huo huo akiruhusu mchezaji bora katika ligi kuu kuondoka.

Utabiri wa pili
1st Manchester City,
2nd Liverpool,
3rd Manchester United,
4th Chelsea,
5th Tottenham,
6th Arsenal
1st Manchester City,
2nd Liverpool,
3rd Manchester United,
4th Chelsea,
5th Tottenham,
6th Arsenal
Mabadiliko ni wakati wowote lakini kulingana na jinsi timu itavyocheza. Manchester City ni wazi kwamba wao watamaliza katika nafasi ya kwanza na kisha nadhani Liverpool wameonyesha kuwa ni ya pili kwa ubora katika ligi. Hii ni kwa sababu sio tu ya matokeo ya Jumapili lakini kwa sababu ya mchezo wao kwa ujumla. mchezo huo ulionyesha kiwango chao hata bila ya Philippe Coutinho na Virgil van Dijk.

Liverpool kwa sasa wapo katika mfumo mzuri hasa katika upande wa mabeki lakini City wana kikosi kizuri na chakutosha kwa ajili ya kumaliza nne bora, lakini bado wanahitaji Nadhani mechi yao ya Jumapili imeonyesha kwamba kipa wao sio mzuri sana.
Naona vita katika fainali ya ligi ya Mabingwa mmoja kati ya Chelsea na Tottenham. Spurs wanaweza kwenda tofauti na mawazo yangu hivyo mimi nina kwenda na Chelsea kama wataweza kusimamia msimamo wao zaidi. matatizo ya Arsenal yanatokana na wao wenyewe na wako kwenye kipindi kigumu katika historia ya klabu na ukosefu wa uhakika kama wachezaji wao muhimu watabaki klabuni hapo.
Naona vita katika fainali ya ligi ya Mabingwa mmoja kati ya Chelsea na Tottenham. Spurs wanaweza kwenda tofauti na mawazo yangu hivyo mimi nina kwenda na Chelsea kama wataweza kusimamia msimamo wao zaidi. matatizo ya Arsenal yanatokana na wao wenyewe na wako kwenye kipindi kigumu katika historia ya klabu na ukosefu wa uhakika kama wachezaji wao muhimu watabaki klabuni hapo.

Utabiri wa tatu
1st Manchester City,
2nd Liverpool,
3rd Manchester United,
4th Tottenham
5th Chelsea
6th Arsenal
1st Manchester City,
2nd Liverpool,
3rd Manchester United,
4th Tottenham
5th Chelsea
6th Arsenal

Kwa mtazamo wangu Liverpool wanaweza kushika nafasi ya pili baada ya kufanikiwa kuwachapa Man City Jumapili bila ya beki wao wa pauni milioni 75. Manchester City ni dhahiri kwamba watashinda taji na kisha naona United katika nafasi ya tatu na kuwasili kwa Alexis Sanchez kunaweza kuwapa nafasi ya kushinda mashindano ya makombe mengine kama FA Cup.

Tottenham wanafunga mabao mengi wakati Chelsea ikikauka, hivyo basi Antonio Conte atakuwa akilenga kushughulikia swala hilo katika kipindi hichi cha Januari. Nina matumaini kwamba Arsenal watashika nafasi ya sita na sijui wapi ushindi wao utakuwa lini na dhidi ya nani na sito shangaa kama wakitolewa katika kombe la Europa.
Post a Comment