Kundi la muziki wa bongo fleva OMG kufanya kolabo na msanii mkubwa Marekani
Kundi la muziki wa Bongo Flava, OMG limefunguka kufanya kolabo na msanii mkubwa kutoka nchini Marekani.

“Tumefanya kolabo nyingi sana nje ya nchi, watu wa duniani kabisa huko, tumefanya nao. Mapema sana itakuwa sio surprise tena, inabidi kazi zikitoka kuwe na uzito ili kutengeneza ule uzito inabidi vitu viwe vya kushtukiza,” amesema.
OMG kwa sasa wanafanya vizuri na ngoma ‘Wanangu Na Wanao’ ambayo wamemshirikisha Rosa Ree.
Post a Comment