Patoranking amchukua msanii kutoka tanzania, sasa ni Msanii wake na amesha achia video mpya “dunia”
Wanigeria wengine wakiwakubali Watanzania wanapiga kolabo tu alafu mchezo umeisha lakini kwa Patoranking utajiuliza ni kitu gani kimemfanya mpaka akaamua kumsain moja kwa moja Kitanzania huyu wa Kitanzania awe chini ya Label yake.
Msanii mwenyewe ni Walid Ali (25) alieishi Tanzania na kuhamia Holland (Amsterdam) akiwa na miaka 7, anafanya muziki wa Afro Pop akiimba kwa kiingereza na kiswahili na ndio kitu kingine kilichomvutia Patoranking na kuamua kumsajili kwenye Record Label yake iitwayo Amari MusicNigeria.
Post a Comment