Makamu wa rais wa Zimbabwe agoma kurudi nyumbani
Wakati Emmerson Mnangagwa alipofutwa kazi wiki mbili zilizopita hakuwa makamu wa rais wa pekee nchini Zimbabwe Phelekezela Mphoko ni mak...Read More
Rais Robert Mugabe kajiuzulu
Katika dakika chache zilizopita , spika wa bung la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu . Spika wa bunge Jacob Mudenda...Read More
Hivi Je Robert Mugabe ni nani?
Mwaka 1980, Bw Mugabe alishinda uchaguzi na kuwa waziri mkuu Mwaka 1982 aliushutumu upinzani kwa kujaribu kupindua serikali Maelfu ya ...Read More
Moto walipuka katika kituo cha habari cha Clouds Media GroupTanzania
Jeshi la zima moto limefika katika jengo la kituo cha habari cha Clouds Media Group jijini Dar es salaam, kudhibiti moto uliozuka katika m...Read More
Aliyeongoza mauaji ya kiitikadi Marekani Charles Manson amefariki jela
Kiongozi wa kikundi chenye itikadi kali za imani Charles Manson - ambaye aliongoza mauaji ya kikatili miaka ya 1960 - amefariki dunia kati...Read More
Jupp Heynckes aweka rekodi ambayo hakuna Mjerumani anayemsogelea
Mwaka 2013 kocha wa sasa wa Bayern Munich Jupp Heynckes aliweka rekodi nchini Ujerumani baada ya kuwa kocha wa kwanza nchini Ujerumani kub...Read More
wote tunaamini katika rekodi na historia?.. Kama ni hivyo baasi Barcelona ni bingwa wa La Liga msimu huu
Wikiendi hii michuano ya La Liga iliendelea ambapo miamba mitatu Atletico Madrid, Real Madrid na Barcelona walikuwa uwanjani. Madrid Derb...Read More
Kocha wa Mbeya City atoa pole
Kocha mkuu wa kikosi cha Mbeya City Nsanzurwimo Ramadhani amekubali kubeba lawama kutokana na kipigo cha 5-0 ilichokumbana nacho timu yake ...Read More
Waandamanaji wapiga kambi nje ya makao ya Mugabe
Waandamanaji nchini Zimbabwe wameelekea katika afisi ya rais Mugabe ili kumtaka kujiuzulu. Maandamano hayo yanajiri kufuatia furaha ilio...Read More
China na Korea Kaskazini zaingia kwenye mazungumzo
Kitengo cha taifa cha habari nchini Korea Kaskazini kimeripoti kwamba mjumbe maalum wa China Song Tao amefanya mazungumzo na Choe Ryong-Ha...Read More
Saad Hariri kukutana na rais wa Ufaransa
Waziri mkuu wa zamani wa Lebanon , Saad Hariri, yuko nchini Ufaransa ambako anatarajiwa kuzungumza na rais Emmanuel Macron kuhusu swala ta...Read More
Raia wajitokeza kumshinikiza Mugabe kujiuzulu Zimbabwe
Maelfu ya raia wa Zimbabwe wamejitokeza barabarni hasa mjini Harare wakijiandaa kwa mkutano mkubwa unaoungwa mkono na chama tawala ZANU-PF...Read More
Hizi ndizo Mechi 13 za Taifa Stars chini ya Salum Mayanga tangu March 2017
Leo November 12, 2017 kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinacheza ugenini dhidi ya Benin mechi ya kirafiki ya kalenda ya ...Read More
Makaburi ya halaiki yapatikana Hawija Iraq
Afisa mmoja mkuu nchini Iraq, amesema, makaburi kadhaa ya halaiki, yanayokisiwa kuwa na zaidi ya maiti 400, yamepatikana karibu na mji wa H...Read More
Ndovu afanyiwa upasuaji kwenye pembe Colombia
Hifadhi moja wa wanyama nchini Colombia umemfanyia upasuaji ndovu mmoja wa uzito wa tani tano aliyepatikana katika shamba moja linalomilik...Read More
Magufuli na Museveni waweka jiwe la msingi la bomba la mafuta Uganda
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa bomba kutoka Ho...Read More
Utafiti: Jeraha la mchana hupona haraka kuliko lile la usiku
Wanasayansi nchini Uingereza wamegundua kwamba majeraha ya kukatwa na kuchomeka hupona haraka yanapopatikana mchana ikilinganishwa usiku. ...Read More
Serikali yatenga bilioni 2.2 kupunguza madeni ya wakandarasi
Serikali kupitia Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi,Hamad Masauni imesema katika mwaka wa fedha 2017/2018 Jeshi la Polisi limetenga jumla ...Read More
UN yaonya hali mbaya ya binadamu Yemen
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeuambia Muungano wa Jeshi linaloongozwa na Saudi Arabia nchini Yemen ni lazima kuruhusu misaada y...Read More
Trump na Xi waanza mazungumzo baada ya makaribisho ya kifahari
Rais wa Marekani Donald Trump ameanza mazungumzo na kiongozi wa China Xi Jinping mjini Beijing kufuatia makaribisho ya kkifahari katika mj...Read More
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 08.11.2017
Meneja wa wa Atletico Madrid, Diego Simeone, ndiye lengo kuu la mmiliki wa Everton, Farhad Moshiri kuwa meneja mpya wa Everton. (Sky Sport...Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)